iqna

IQNA

22 BAHMAN
Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu inaongoza mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu.
Habari ID: 3478335    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Mamilioni ya wananchi wa Iran wameshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
Habari ID: 3478334    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Bahman 22
TEHRAN (IQNA)- Sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini zimefanyika kote nchini kwa ajili ya kuadhimisha miaka 44 ya mapinduzi hayo hayo, huku miji na vijiji vyote vya Iran vikishuhudia maandamano makubwa kuelekea viwanja na maeneo ya umma.
Habari ID: 3476545    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11

Azimio la Bahman 22
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran wametangaza katika azimio lao walilotoa mwishoni mwa maandamano ya Bahman 22 ya kwamba, kuwa kitu kimoja, kuungana, mshikamano, umoja wa kitaifa, kuwa na moyo mmoja makundi na matabaka na kushirikiana watu wa kaumu na dini zote nchini ni wajibu wa kidini na kimapinduzi na ndio mkakati muhimu zaidi wa kumshindia adui.
Habari ID: 3476544    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, matembezi ya Bahman 22 (Febrauri 11) ambayo yatafanyika kesho Jumamosi katika kona zote za Iran kuadhimisha mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu yatakuwa ni muhuri wa ushindi wa wananchi wa Iran ya Kiislamu dhidi ya njama zote za maadu
Habari ID: 3476541    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

TEHRAN (IQNA)-Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leoi wamejitokeza kwa wingi mitaani katika maadhimisho ya miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Habari ID: 3474915    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/11

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza mabarabarani katika miji na vijiji vya nchi hii kushiriki matembezi ya Bahman 22, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3472462    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/11

TEHRAN (IQNA) - Maandamano makubwa ya 22 Bahman (11 Februari) katika kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yamepangwa kufanyika katika miji na vijiji 5,200 kote Iran.
Habari ID: 3472453    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/09